Music,
connecting
people
always.
A
SONG LYRICS

Kuna Wimbo

Amazing Discovery SDA Youth Choir, Kitale

Size
LYRICS

Kuna Wimbo

Use A− / A+ to adjust text size
Kuna wimbo ninataka kuimba siku moja.Ataka morejea mwana akishuka toka mbinguni.Ni mfalme katika angani, afaye pamoja na yeye.Hosana, haleluya, wimbo wa Musa na mwanakondoo.Tutakanyaga kwa bara bara za dhahabu, tutakaa naye mwokozi.Hosana, haleluya, wimbo wa Musa na mwanakondoo.Tutakanyaga kwa bara bara za dhahabu, tutakaa naye mwokozi.Bwana amkeni tokea makaburini.Sauti hiyo ni ya bwana itahamuru.Waamke na mwili mpya wa mfalme mwokozi wao.Waamke na mwili mpya wa mfalme mwokozi wao.Tutasafiri siku sita kisha ya saba tutafika tumuabudu bwana wa milele.Na umalaika watashangaa wimbo ule tutauimba.Wao ambao hawajaonja damu duniani, sisi ndio tutauimba na wao watastaajabu.Hosana, haleluya, wimbo wa Musa na mwanakondoo.Tutakanyaga kwa bara bara za dhahabu, tutakaa naye mwokozi.Hosana, haleluya, wimbo wa Musa na mwanakondoo.Tutakanyaga kwa bara bara za dhahabu, tutakaa naye mwokozi.Hosana, haleluya, wimbo wa Musa na mwanakondoo.Tutakanyaga kwa bara bara za dhahabu, tutakaa naye mwokozi.Tutakanyaga kwa bara bara za dhahabu, tutakaa naye mwokozi.

Are these lyrics correct?

Rate the public version or submit a correction for review.

🎤
LETROU FEATURE

Stage Mode

Large text, automatic scrolling and fullscreen for singing or practice.

⌕
FIND ANOTHER SONG

Find a song

Search by title or artist.

◉
SINGER CENTER

Train your voice

Breathing, warm-ups, pitch and vocal range.

Open tools →
YOUR VERSION

Edit lyrics

Edit as you like or add your notes. The version is saved on this device, is used in the repertoire and Stage Mode and follows the repertoire when you share a new link.

Help improve the catalog (optional)

Send a correction of the public lyrics for approval. The team will check the suggestion and rights before publishing. Your personal notes are not sent automatically.